mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
Namtafuta Vailet Innocent Mtono.

Tumesoma wote Shule ya msingi kuanzia mwaka 1985-1991 ktk shule ya msingi Boma iliyopo mkoa wa Dar-es-salaam. Mara ya mwisho kuonana naye ilikuwa mwaka 1998. Tafadhali yeyote anayemfahamu naomba anijulishe kwa mawasiano haya seydou_a2003@yahoo.co.uk au kwa namba ya simu hii 0713-579 769.