mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
Natafuta mp3 za mtoto wa Dandu

He ndugu zangu natafuta sana mp3 za James Dandu especially "tutarudi kenya", "Karubandika" na "sina makosa". Nitashukuru sana kama kunamtu anaweza kunitumia.

Re: Natafuta mp3 za mtoto wa Dandu

angalia hapo: http://www.mzibo.net -> muziki -> Cool James