mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
Mwaiona Aje Hii Kutoka Kenya

Kuna Ngoma Kali ya Hip Hop kutoka Nairobi Kenya cha kikosi cha Span 1 kinaitwa Biashara.Mwaweza kukisikia hapa kisha mtupe maoni.

www.myspace.com/deegahgah

Tutafurahia sana maoni yenu yote.

Re: Mwaiona Aje Hii Kutoka Kenya

eh bwana safi sana tu