mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
Watu wanaotaka kuingia katika Video Clip yangu mpya ya mziki

Hi,natafuta watu wanaotaka kucheza kwenye video yangu mpya ni me Keylia aka Ghetto Princessz.watao itaji kuingia wanatakiwa watu ambao watacheza hip hop and freestyle,streetdance,and beatbox katika clip hii.sasa kama wewe unajua unakipaji cha kucheza,freestyle,streetdance... na unataka kuingia kwenye clip hii basi ni contact mimi na uangalie site yangu www.ghetto-princessz.skyblog.com wanamuziki wengine ambao watashiriki katika clip hiyo ni Mr.Blu,TID,Eastcoast...kwahiyo kama unataka kujiunga fanya haraka kabla nafasi hazijaisha just holla me,y'all got my email.kiss and love