mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
waswahili

hi there,
sasa ikapita miaka miwili tayari nilivyorudi toka tz na bado sijawahi kumkuta mswahili hapa mjini kwangu.nakaa ujerumani mashariki na mji unaitwa dresden.labda mnamfahamu mtu wa uswahili naweza kuwasiliana naye?
thanks for help
marahaba

Re: waswahili

salaamu sana kutoka kwangu kwa jina naitwa yassin musa nimekurudishia salaamu kwa sababu nimepata ujumbe wako.nimefurahi sana kupata salaamu zako ninge zidikufdurahi sana ungewasiliana na mimi.



wako mpendwA YASSIN .O.MUSA

Re: waswahili

kwa jina nina itwa yassin o musa kutoka tanzania ningependa sana niwasiliane nawe (716)907-3429