mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
HAKUNA ZAIDI YA FID Q

EEEEEEEEEEEEEEEEEEEH
NAAMINI MAMBO SIO MABAYA
ILI KUMBUKA UKIMWI UPO KILA MAHALI HATA
KWAKO AU KWANGU

Re: HAKUNA ZAIDI YA FID Q

yoooooooooooo my name is Mwajuma saida i am a CAP AIDS OF VANCOUVER CANADA B.C SASA Ukimwi husababishwa na kirusi cha HIV. Kirusi hiki hushambulia kinga ya mwili na kuusababisha ushindwe kupigana na magonjwa. Inaweza kuchukua miaka mingi kwa dalili za ugonjwa kujionyesha tokea unapoambukizwa. Hivyo mtu akionekana ya kwamba ana siha nzuri, siyo kwamba mtu huyu hajambukizwa virusi vya HIV.SALAAAAAAAMA

--- --- --- --- --- --- --- --- ---

Replying to:

EEEEEEEEEEEEEEEEEEEH
NAAMINI MAMBO SIO MABAYA
ILI KUMBUKA UKIMWI UPO KILA MAHALI HATA
KWAKO AU KWANGU

salaaam

haloo
p funy majan
nakuaminia rafiki yangu unatisha lakini ongeza juhudi
babake

Re: HAKUNA ZAIDI YA FID Q

Hujambo


Habari zenu?