mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
Lady jaydee's party - ndani ya South Africa

Kwa wote mulio South Africa, siku ya tarehe 3december 2005, katika jiji la pretoria, kutafanyika party ya pongezi kwa Lady jaydee kwa kuchaguliwa kwa mara nyingine tena kushiriki Kora Music Awards. usiku utakuwa mnene huku tukitumbuizwa na mikwanja ya bongo fleva toka kwa dj wetu Venture wa CLOUDS FM, wasanii wa bongo hip hop waliopo South Africa i.e. TIZO, BLUNT na M.O.B.E. mambo mengi tuu usikose.

maelezo zaidi wasiliana na number hii (+27) 72 60 84 381

amani na upendo

Re: Lady jaydee's party - ndani ya South Africa

AHHH,,HUO NI UJINGA TU HUYO JD NDIYO KILA SIKU ANENDA KORA ANAISHIA ETI MWANAMUZIKI BORA WA EAST AFRICA,,MTU KAMA RENEE LAMIRA ,,NDIYO ANAFANYA KILA KITU KUHUSU MUZIKI HAPA TANZANIA,,