mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
Ha masela Kutoka Sinza

Heeey Masela kutoka Sinza Mambo vipi?
Mi nakaa huko Netherland Na tafuta Masela wakupiga nao michapo!!!!
Simna jua tena huku kwetu Holland Bangi unalusiwa hadi kanisani kuvuta Hi

Re: Ha masela Kutoka Sinza

kwanza wewe ni mlwilo wa wapi ? Iringa au ?

Re: Ha masela Kutoka Sinza

Me acha uzushi we ni mwila kutoka kia klulee Arusha aha.Acha kuzingua Machizi wako kutoka Uru tunakupa hii.Mi nikuringe mzee wa habari nyepesi nyepesi nawakilisha toka bongo hadi Australia babaake usikonde sinza ndio home kokote tutakwenda lakini abajalo ni home babaake.

Re: Ha masela Kutoka Sinza

Heey Masela Mi Natokea Sinza Kwa wa Janja Haa nilizaliwa Iringa !!!!
Hila minawasalimia Nyimasela mi niko Netherlands
Peace up brothers
P.s mkitaka kuwasiliana na mimi email yanyu iko hapo!!!!!

Re: Ha masela Kutoka Sinza

heey Zam Mchizi tuna juana?
Tuwasiliane Basi?
Una mjua mzee mlwilo Mi naitwa Joseph Niko holland

Re: Ha masela Kutoka Sinza

Joseph Ndio mimi Yule yule Kutokea Sinza !!!!!Sasa hivi ni muholanzi

Re: Ha masela Kutoka Sinza

Re: Ha masela Kutoka Sinza

Heej heej salumu we ninani?
Tuna juana Ushi jikaushe mchizi
mi mtinga natokea Sinza vipi masela mbona mna jikausha

Re: Ha masela Kutoka Sinza

wewe joseph sinza sehemu gani?

Re: Ha masela Kutoka Sinza

heeej Sinza madukani
hila mitaa ya Sinza ster footbal clab!!
siuna ijua
Huna mjua Siaba nini
mi wana niitaga Jose
Heej nilikuwa na kaa kwa mama Jerry
SINZA STER

Re: Ha masela Kutoka Sinza

hoya mzee ni "sinza star" na sio "sinza ster".

Re: Ha masela Kutoka Sinza

We mzushi vipi wewe!! mi nimepiga buku kuliko wewe Usitake kunizingua!!
Ivyo nilvyo andika nikwaki Dutch kama auwezi kusoma nendashule!! Hi,,,
Je moet geen groot bek trekken waarvan je helemaar niks van begrijpen!! snap je!!
Tafhili unavyo weza!!!! Tip: Nilivyo andika sio matusi
Peace Brother!!!