mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
mimi pia ninamtafuta mbia

JAMBO MARAFIKI!!

MIMI MSPENI, NINAISHI KATIKA ULAYA. SISEMI KISWAHILI LAKINI NINAJITAHIDI SANA. MWAKA UJAO NINA HAKIKA NITAKISEMA VIZURI. MWAKA ULIOPITA NILIKUWAKO ZANZIBAR MARA MBILI. HAPO NILITAMBUA KWAMBA NIKIPENDA WATU MWEUSI. NINAYO NYUMBA KUBWA,FLETI PWANI (BAHARI YA MEDITERANIA). NINATENGENEZA MENO. NAPENDA SANA NCHI TANZANIA NA WATANZANIA. NATUMAINI MTANIJIBUNI KARIBUNI. ASANTE SANA .SAMAHANI MAKOSA YANGU.

Re: mimi pia ninamtafuta mbia

we nawe kila mahali upo anataka nini?????????!!!!!!!!!!

Re: mimi pia ninamtafuta mbia

mimi nakutafuta wewe fran rakini Email yoko haipatikani