mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
kuandikana na watu

JAMBO WOTE RAFIKI ZANGU!!!!

NINAWAANDIKA KUTOKA USPENI (ULAYA). MIMI NI MZUNGU LAKINI NATAKA NIJIFUNZE KISWAHILI. NAPENDA SAAANAAA BONGO FLAVA. NADHANI KWAMBA FEROOZ NA DAZ BABA WANA MUSIKI BORA KABISA!!!!
OK, I'm not very good writting in your language...I would like to contact those fabulose artists. I really want them to come here to Europe. men, your music is the best!!! Somebody knows how to contact them?

Re: kuandikana na watu

keep kwayat Fran!!! ongea kispanish!! unazingua tu!!

Re: kuandikana na watu

I DON'T KNOW EXACTLY WHAT YOU MEAN, MY FRIEND MLUGUYU... ANYWAY, YOU WANT ME TO TALK IN SPANISH? HOLA AMIGO MIO, ME GUSTARIA MUCHO CONOCER A LOS ARTISTAS DE BONGO-FLAVA. ME HARIA ILUSION CONOCERTE A TI TAMBIEN, CLARO!!. ASANTE SANA KWA MAITIKO YAKO. MIMI NINA HAKIKA KWAMBA WEWE NI MTEULE NA MTU BORA. PAPAHAPA PANA JOTO MNO SASA "THE SUMMER TIME" NAPENDELEA HALI YA ANGA YA TANZANIA. TUTAONANA RAFIKI MLUGUYU!! KWA HERI

Re: kuandikana na watu

mambo vipi mimi nakutafutaw wewe

Re: kuandikana na watu

mambo vipi mimi nakutafuta wewe,,fran

Re: kuandikana na watu

vipi hali mzee ;O)

hola fran, natoka austria (vienna).
que tal ombre?

utaka zungumza kiswahili?
hamna shida!

mimi ni daniel.
ningependa kusema kiswahili lakini sina mtu hapa kusema kwangu...

salamu sana,
daniel.

Re: kuandikana na watu

we fran na we acha kutuchengua.tunajua kwamba spain iko ulaya.kwani hamna watanzania huko spain mpaka uanze kupiga kelle huku?

Re: kuandikana na watu

Hey mambo zako!
Natumaini we u mzima.Ni kipi kilichokuvutia na wana wanamuziki wa tanzania kwani natumaini huko kwenu kuna wnamuzki wakali kuliko hata huku tanzania?

Re: kuandikana na watu

fran,

bado upo ?
muda mrefu najua;..)anyway kama upo poa..
mimi mfaransa, ninawajua wasani unawaopenda. nakubali wanafanya kazi safi sana... lazima waje ulaya..
tuwasiliane ukitaka
mmboga