mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
natafuta marafiki

mimi ni wa miaka 16 natafuta marafiki popote walipo sibagui rangi wala kabila email zenu zitajibiwa

Re: natafuta marafiki

whats up adam. my name is joe. if u read my post down there "ARE U 16" i was also lookin for sumbody my age to be my friend i guess i've got u so my email is joebm08@yahoo.com. i;m 16 to.

Re: natafuta marafiki

jambo wote!!!

ninatoka ulaya nikajifunza kiswahili. napenda saaanaaa bongo flava. nilikuwa zanzibar mwaka iliopita na nitarudi tena. mimi ni mspeni.
ok I would like to know about the great great singers of bongo flava specially Ferooz and daz Baba. I want them to come here to Europe. Somebody knows how can I contact them?

Re: natafuta marafiki

hi,kutoka Kenya,kwa undani,Nairoberry,hii track mpya ya Noorah,"unanicheki"bila shaka ni phat,kama kuna mtu yeyote mwnye lyrics basi hii ndiyo email alinkwent@yahoo.com

Re: natafuta marafiki

hii ma mulki and lív in sweden I will like 2 be ur friend.............if u want....peace ;)

Re: natafuta marafiki

mimi mary natafuta marafiki wa kizungu wanayu juwa kiswahili