mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
mtaa wa bondeni unaboa

mimi kama kijana wenu nawaomba wazazi muwe na maamuzi ya pamoja kwa kila siku kunakuwa na mizozo ona sasa mtu anaziba njia sasa sisi ndugu zako tutapita wapi muogope MUNGU upate swawabu

punguza jazba!

punguza jazba kijana.waeleze ukweli wanaokukosea.si vizuri kuwa na hasila.

Re: mtaa wa bondeni unaboa

Kijana MUNGU anasamehe na wewe samehe pia,mshinde shetani hata vitabu vina2ambia.waambie 2 ukweli ndugu yangu