mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
natafuta marafiki

mimi Stev natafuta marafiki wa kuchati nao wakuwa tunabadilishana mawazo napendelea mambo yote
ambayo ni muhimu kwa maendereo ya binadamu Sioendi majungu.

Re: natafuta marafiki

poa!nitakuwa rafiki yako.

Re: natafuta marafiki

jambo rafiki. mimi mzungu kutoka Uspeni. napenda sana lugha yako kwa sababu ni tamu kweli, ndio sababu ninakijifunza, lakini sisemi vizuri...Huku uspeni ninatengeneza meno ya kubandika na kadalika....una miaka mingapi? natumaini utanijibia karibuni...nilikuwako zanzibar mara mbili mwaka uliopita nakapendea sana. Je, unatoka wapi? kwa heri, tutaonana karibuni. Adiós!!

Re: natafuta marafiki

nimefurahi sana kutokana na maongeziyako unaonekana ni kijana mwenye busara na ninakuahidiutapata marafiki wengi

Re: natafuta marafiki

NISHAKWAMBIA WE MSPEIN ACHA UNOKO,"ahhh lugha yako naienda "hili na lile.ayo meno bib yako anahitajiiiiiiiiiii!!????????????+

Re: natafuta marafiki

Yeah mzee,mimi nipo Kilwa Kivinje-London lakini napenda pia kuwa rafiki yako..anyway how old ru mate coz u didnt specified ur age,maybe ur just 2years (joking. So usikonde we are all sailing on the same boat of Mziboooooooo....holla....Kaluluboy

Re: natafuta marafiki

mimi mary natafuta rafiki mzung naye juwa kiswahili