mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
DAWA YA MDUDU

Vipi mazee,mimi ni mbongo ninayeishi UK kwa takribani zaidi ya miaka kumi sasa. Hivi karibuni nilisoma article moja kutoka katika mtandao uliokuwa na habari kwamba hivi sasa Bongo kuna dawa ya kutibu ngoma, na kwamba imekwisha thibitishwa na serikali na hivi karibuni itakuwa ikitolewa katika hospitali za serikali. Je hiyo ni kweli wenzangu mliopo hapo nyumbani?

Re: DAWA YA MDUDU

babu tafadhali.mimi niko hapa na mambo hayo sijasikia hapa mtu mmoja akiongelea habari hizo, sasa kwa mawazo yangu sio kweli na usiuchezee mdudu. hauna dawa bado!

Re: DAWA YA MDUDU

mapenda kusukuma kwanyuma nyuma wakati wakuganda unga makupika mikate ya kusukuma, habari jambo bwana mimi nindungu wakimasai bwana natoka huko kwetu bwana mine kuja na magombe wangu bwana huku toronto ,

Re: DAWA YA MDUDU