mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
download/sikiliza remix ya bongo flava (mp3)

remix hii inawashirikisha wanamuziki tofautikutoka GM Productions iliyoko arusha na funkdisaster iliyoko UK na maproducer mbalimbali, wanawaletea Remix kutoka UK ambayo itakamilika mapema 2005,lakini unaweza kuangalia kwenye website ambayo ni -

www.soundclick.com/funkdisaster

ninapenda kusikiliza maoni yenu kupitia e mail yangu na yoyote yule atakaependa kutoa ushirikiano wowote ule awasiliane na mimi.

zulekhamikidadi@yahoo.com

+447765630940

Re:NAOMBA UNIJULISHE UTARATIBU WA KU DOWNLOAND BONGO FLAVA BURE

Hi
Dada samahani naomba kama kuna uwezo wa kudownload nyimbo za kibongo bure naomba uniambie na kama hakuna nyimbo za bure basi naomba uniambie nitashukuru sana
rashid Hans
Mwanza
Tanzania

Re: download/sikiliza remix ya bongo flava (mp3)

muziki si uhuni

What can i got you

I want to meat with you

Re: download/sikiliza remix ya bongo flava (mp3)



Re: download/sikiliza remix ya bongo flava (mp3)

brand new website