mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
JAMANI KUNA UKWELI NA HILI !!!!!!

KWA YEYOTE ALIYE FINLAND NASIKIA MAD ICE KAO MZUNGU BIBI UKO JE NI KWELI ?

Re: JAMANI KUNA UKWELI NA HILI !!!!!!

Bi ,
tafuta ya kuandika na kama huna basi tulia na soma ya wengine

Re: JAMANI KUNA UKWELI NA HILI !!!!!!

prisca!!! tulia mtoto!! huna kazi nini? cha ajabu kipi mtu akioa mzungu,mbona unakuwa kama umevaa miwani ya mbao,sisi wanaume tunaoa yoyote ata akiwa mmasai haaaaa kwi kwi kwiiiiiii......... u gat nothin 2 talk about baby!!! keep kwayat!!!!

Re: JAMANI KUNA UKWELI NA HILI !!!!!!

ACHENI MAMBO YA UZUSHI JAMANI,KAMA KUOA NDIO KAOA MWEZI MWEZI ULIOISHA NA WALA SI KIZEE AU KIBIBI ,NI MDADA WA KUMZIDI KAMA 10 TU PIA KUMBUKA MAPENZI AU UPENDO AUJALI UMRI

Re: JAMANI KUNA UKWELI NA HILI !!!!!!

mlugulu, inabidi dada zetu wa kimasai hawafai kuolewa?

Re: JAMANI KUNA UKWELI NA HILI !!!!!!

Acha ushambenga!!!!Ulitaka uolewe wewe?ata kama mzee si kampenda yeye!wewe inakuhusu nini? jamani ubinadamu kaziiiiiiii!!!!!