Try the sites that are listed in the 'Bongo' section under 'Music Sites', perhaps you'll find the song there, i have never heard of it, though.
peace,
lexx
MYRIAM KOMBE!!!AHAHHA KWI KWI KWIIIIII.....will u liv MARIA alone please!!!!english wewe unavyojua ni ujiko fulani au ndio kuonyesha elimu yako,ndio maana hata jina lako ni MARIAMU lakini ukajifanya kuandika in english,ingawa ktk lugha hiyo jina hilo hakuna.jivunie lugha yako,b urself.english ni lugha ya kitumwa kwetu.na wewe unaonekana unapenda utumwa. kwaheri.
hey myriam is that ya realy name? or unataka kujishow ifront of people sijapenda ulivyomfanyia maria may be ungemuelekeza vipi angesema kuliko ulivyofanya
Kwanza we unayejiita Myriam sijui Mryiam what'ver you're real name is,kosa alilo fanya binti wa watu Maria ni lipi,unafahamu kabisa sisi Wabongo lugha yetu ya kwanza ni K'hili na hizi lugha nyingine tuna bangaiza tu,haina haja ya kuumbuana hapa. Dare to respond this,you *****.
hii there maria!! there are many websites u can listen but cant download, i never had of that song>>selina, any way i got over 200 bongo flava songs if anyone wants i can just send u, if anyone got any songs that i dont have plzz could we share.Only few websites offer you to d/n songs most of them just allows u to listen from there, but if u know websites diff from which i know i can help u capture the songs from there LOL, washkaji sasa kama kuna website ambazo zinaoffer kusikiliza bongo flava kama ni full song, nishtueni ntazi capture afu tutatumiana..peace broz & sistaz
MARIA, SOY ESPAÑOL Y TENGO LA CANCION DE "SELINA" EN CD SI LA QUIERES LLAMAME O ESCRIBEME. MI DIRECCION ES:
FRAN CABRERA c/ MENÉNDEZ PELAYO, 6 03610 PETRER ALICANTE ESPAÑA-SPAIN.
NINAO WIMBO SELINA KWA SABABU NILIKOKUWA ZANZIBAR MWAKA ULIOPITA, NIKAUNUNUA SOKONI KWA STONE-TOWN. KWA HERI MARIA, TENA UNAISHI HAPA KATIKA NCHI YANGU.
Gracias, Fran, me alegra un monton tu respuesta y lo de la cancion. Ahora estoy precisamente en Tanzania asi que a mi vuelta te escribire. De todas formas te dejo mi email de hotmail (carteia, arroba y lo que sigue) por si quieres escribirme alli.
Ulipenda Zanzibar mwaka ilipita? Ulifanya kazi au ulitemebelea kisiwa kama likizo? Tutaandikana Hispania! Ashante sana!
Yo Lads U can download d bongo flavaz song into dis web. wwww.ngome.com/Music plz copy as it is if u aint put d Capital letter M u cant access to d down loading one..
Pls pass dis web to each other. Even though if anyone wana some Bongo falavas mp3 song I gat some. jus Holaa me I will respond it ASAP.
Pamoja na kuwa nimechelewa ku join maongezi,nakupa pole kwa kusakamwa na huyo anaejiita Myriam! Kwanza ninamshauri kabla ya kulitumia jina lake kwenye public akajifunze lugha yeye mwenyewe,jina lake sio Myriam ni Mariam!!! alituletee ujinga ujinga hapa,hatuangalii kama yuko yuko wapi! anapotia timu kwenye hii site aelewe anaingia BONGO live!! hatuchelewi kumpa mbaya endapo ataendelea kutuzingua na kujifanya yeye anajua sana hiyo English! alisomea wapi huyu? hata CHONYA of Chilonwa aliongea English kabla ya yeye hajafikiria hata kuwa atakuwa kokote aliko! Huyu Mariam ni dem Mapepe tu! si lolote si chochote! Chapa kazi Maria,Queen of the universe.
l would like to get in tourch wiz TZ music promoters in tz,Europe and Canada
lam looking for promoters of bongo flava in Canada,TZ,and Europe if you are intrested in doing concerts with us and promote our african music you can send us a Message www.zinkproductions.info. or myspace.com/thezinkproductions u can send us an email zinkproductions@gmail.com artists who want to promote there music in Canada are also well come.
Habari gani watanzania, naomba mnisaidie, ninatengeza website kuipromote nchi yetu tanzania. if you have any nice photos or videos of any town in tz please email me.asanteni sana
3D Tanzania
Alsalamalikum wote
Mimi DJ SAM Natoka Omani
Nimeona ugomvi wa wenzeto
Sifichi vito vikali koenjoy lakini asichukuliye mto kihaseera
Kuhuso website
shusheni software inu itwa Limewire
Wnzeto wenye host wameja Vituko va bongo na kila mahala monaweza kuzishusha
la casilla contigua 1, sección 302, de la elitista colonia Brisamar pederastas fraccionamiento de walton.org.mx pederastas pri.org.mx pederastas criminales con hampa