mazungumzo

ongea unachotaka (lakini bila matusi, tafadhali!)

mazungumzo
Start a New Topic 
Author
Comment
KUMBUKA CYBER CRIME ACT 2015

Habarini za leo wapendwa kuna mtu kaweka namba 0659503918 anajifanya yeye ndio mmiliki wa hii namba nawaomba tafadhali musitumie hii namba mimi sio shoga wala sio top na nimekwisha fungua kesi polisi. Polisi wanashirikiana na TCRA wanamtafuta mshatikiwa nawaomba tena na tena musitumie hii namba ndugu zangu. Nawatakia kazi njema